JPM alivopasua Jipu bila ganzi Download mp3 - Download video

Share
Add
 • Published on Sep 10, 2018

 • ONA HII "BREAKING NEWS: MAMIA WAFARIKI BAADA YA LORI LA MAFUTA KUANGUKA NA KULIPUKA" https://www.youtube.com/watch?v=Ti60g... --~-- Rais Magufuli amehitimisha mzozo uliodumu kwa muda mrefu kuhusu Mkurugenzi kutuhumiwa kuhusika na ubadhilifu wa mali za uma na matumizi mabaya ya ofisi yake. Amemaliza mgogoro huo kwa kulzikutanisha pande zote mbili zinazorumbana na kuzisikiliza na mwisho kutolea Uamuzi.
 • JPM alivopasua Jipu bila ganzi tags

Comments

 • Omar Omar
  Omar Omar 11 months ago

  Yaaani leo ndo nimeamini rais magufuli wewe nimkweli hukumskiliza tuuu huyu mbunge bali unaaangalia haaki hakika rais wangu niwaahaki mungu akupe maisha marefu saaaanaaaaaūüĎŹ

 • Binura Rassi
  Binura Rassi 1 year ago

  Kweli Mh. Rais, Siasa za Vyama vingi zinataka Umakini sana, Mungu akubariki Kwa uelewa wako, Amen.

 • Felix Kamkala
  Felix Kamkala 10 months ago

  Wabunge wote wa Chadema wote wamezoea dili dili kila mahali!!!

 • Henry Gatimu
  Henry Gatimu 11 months ago

  Kiongozi ni hekima na busara na mcha Mungu

 • Ernest Muhagama
  Ernest Muhagama 11 months ago

  Asante sana Mh Rais wetu Mungu azidi kukulinda na kukuongoza ktk njia sahihi .

 • Muhidin Shafii
  Muhidin Shafii 7 months ago

  mkurugenzi umejieleza vzur sana (Excellent)

 • Salome Benson
  Salome Benson 11 months ago

  MUNGU akutunze Rais Wa wanyonge Azidi kukupa maarifa zaidi

 • Agness Josephath
  Agness Josephath 1 year ago

  Inasikitisha sana kuona mbunge mzima hovyo kweli

 • Mohammed Mkomi
  Mohammed Mkomi 11 months ago

  Anaumbuka mwenyew kumamae daaa si haibu hii

 • Hamidu Msolla
  Hamidu Msolla 11 months ago

  Safi sana mkurugenzi unajiamini uwe hvyhvy roho wa mungu yupo ndani yako akuongoza safi sana Fanya kazi usimsikilize kenge blue hana maana.jpm na ww safi sana umetenda haki mungu akubariki baba

 • Omar Omar
  Omar Omar 11 months ago

  Not all people on this world can accept you, some of them they must hate you but for me Iam support idk john pombe magufuli

 • Joseph Zigi
  Joseph Zigi 5 months ago

  Nimekupenda bure Rais

 • mariamu kajiru
  mariamu kajiru 1 year ago

  Mh.Rais chunguza kwa undani hayo maneno ya huyo Mbunge mbona anaongea kama Mwehu tena kwa jazba ya hali ya juu hapo inawezekana ni chuki binafsi dhidi ya huyo Mkurugenzi.

 • Mohammed Mkomi
  Mohammed Mkomi 11 months ago

  Huyu mbunge kanyimwa nn kwenye mgao mbona anamchoma mwenzie ili atumbuliwe ..maneno ya shombo kama Mangi kimambi duuuuh

 • Zuhura Kimwaga
  Zuhura Kimwaga 2 months ago

  Tunakushukuru Rais magufuli kwa juhudi zako za kutetea wanyonge mungu akubariki akulinde akupe maisha marefu asante

 • Jema Haonga
  Jema Haonga 11 months ago

  Cheka tuu raisi wangu mengine yanachekesha kwa kujiamin mbuge huna lolote mkurugezi oyeeeeee hongera baba unaijua kazi yako

 • mgy Kaboza
  mgy Kaboza 10 months ago

  Pole sana mh rais kwa kubarans hili jambo nimeflah sana

 • Sedda Mwaipungu
  Sedda Mwaipungu 11 months ago

  raisi wetu huyooooo, safi sana unatenda haki

 • Shaban Aman
  Shaban Aman 9 months ago

  Mh.rais mie naona huyu mbunge hana ukweli naona huyu mkurugenz yuko vizur na ni mkweli inaonekana mbunge anastahiki jibu.

 • Rusaka tv Online
  Rusaka tv Online 4 months ago

  jamqni apewe miaka 20 ili tz iwe ya viwand