DC HAI amsweka ndani Mkurugenzi hadharani "radhi kamuombe Mungu" Download mp3 - Download video

Share
Add
 • Published on Oct 3, 2018

 • #DCHAI DC HAI amsweka ndani Mkurugenzi hadharani "radhi kamuombe Mungu" Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, leo 3.10.2018 ametembelea katika kijiji cha Kimashuku Wiilayani Hai na Kutatua Mgogoro Wa Shamba lililokuwa Mali ya Baraza la waislamu Tanzania (BAKWATA ) ambalo lilikuwa linamilikiwa na Mwekezaji aliyekuwa anafanaya kilimo cha Mboga mboga. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...
 • DC HAI amsweka ndani Mkurugenzi hadharani "radhi kamuombe Mungu" tags

Comments

 • Nicko Simchimba
  Nicko Simchimba 11 months ago

  Hapa busara haijatumika kabisa Dc badilika plz hayo mamlaka yana mwsho!mzee ameomba radhi mngemuacha avune kwanza then awape Bakwata shamba lao

 • Safia Harir
  Safia Harir 11 months ago

  ivi hawa waislam kweli mbona Wana sura za motoni, hata baniani Ana sura ya peponi

 • Huba Uronu
  Huba Uronu 11 months ago

  Hanna unamwonea huyo baba bakwata wamempa kweli najua sana halafu wamekaa hapo baba wa watu anadhalilika watu was uduru bhana

 • Anna Mushy
  Anna Mushy 11 months ago

  Jamani kiukwelii wangemwacha avune mazao ndo awakabithi,ki hivi hii nchi wawekezaji hawataonekana.

 • Inno Warako
  Inno Warako 11 months ago

  wewe DC tambua watu wanatumia hela sio vingenevyo

 • Saj Abri
  Saj Abri 11 months ago

  Nnnoooo, DC hana mamlaka ya kuamrisha police kufunga mtu 48hrs. Hapo panatakiwa sheria sio kuamrisha kufunga watu. DC sio hakim. Na nyie police mnatakiwa kujiongeza.

 • miss moona
  miss moona 11 months ago

  Innalillah wainnah illah rajiuna ,waislam tunakwenda wap huko mbona huyo bb anaonekana tayba msiwafanyie hivyo atilist wangemuacha avune mazao yake kisha akabidhi shamba chin ya uongoz wa serkali wawekezaji hao maskin hakuwa na nia mbaya.Kisha hapewi hata fursa yakujitetea subhannallah anaomba radhi hasikilizwi jmn yarabbi nimeumia kweli yaani et hapa hakuna mungu subuhannallah, waislam takbriii subuhannallah tunafanyiana nn hiv?

 • Big Poppa
  Big Poppa 11 months ago

  Mzee Baba kama hakimu vile. Kumuweka ndani kwa kosa gani. Wangemuacha avune mazao yake

 • Jim Jam
  Jim Jam 11 months ago (edited)

  Wamsweka mtu ndani kwa kiburi chako bat utofika mbali

 • Zefa Mange
  Zefa Mange 11 months ago

  Wakimbize mdogo wanguuuu. Nchi ilikua imeoza kwa rushwa

 • noel bryson
  noel bryson 11 months ago

  TAKBIR MAANAKE NINI?? KILA SIKU MIGOGORO? HAMUONI AIBU? NA WENGINE WANATAFUTA KIKI🏌🏽‍♂️

 • othuman lorenzo
  othuman lorenzo 11 months ago

  DC yuko vizuri wa kwenda mahakamani ho singa singa

 • Saif Al Shidhani
  Saif Al Shidhani 11 months ago

  Sasa unamuweka ndani kwa vigezo vipi

 • privatus Peter
  privatus Peter 11 months ago

  Ishu ni kuahamlisha kumwema ndani masaa yakutosh,

 • BASHIRI MUSHI
  BASHIRI MUSHI 11 months ago

  Hivi jaman ugumu wakujua mwenye makosa hapo uko wapi..?? Daaah

 • Sia Mollel
  Sia Mollel 11 months ago

  Duuu Dc ndo mwana sheria ndo mahakama ndo kila kitu hatari sana,,,Ila kweli wageni wanatapeliwa

 • Abdul bukhary
  Abdul bukhary 11 months ago

  MPE nafasi ajieleze na yeye sio umkandamize tu ivyo itakua unamyima uhuru

 • Emmanuel John
  Emmanuel John 11 months ago

  When the deal is so good.... Think twice

 • Dany Ojoro
  Dany Ojoro 11 months ago

  Sasa Huyo mwekezaji unamsaidiaje?! Kwasababu Kwa hekima ya kawaida inaonekana ametapeliwa.

 • Meshack Kussaja
  Meshack Kussaja 11 months ago

  Huyu mzee hata kama kakosea lakini ni mnyenyekevu sana na aliomba radhi alipaswa kusamehewa!