JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1! Download mp3 - Download video

Share
Add
 • Streamed live on Sep 5, 2018

 • JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1! Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea mkoa wa Mara, wilaya ya Bunda katika jimbo la Mbunge wa Chadema, Ester Bulaya na kisikiliza kero za wananchi wa eneo hilo kisha kuzitolea ufafanuzi papo hapo. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli... Category
 • JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1! tags

Comments

 • Zinbo Rmdan
  Zinbo Rmdan 7 months ago

  Wale tunaompenda jembe letu hebu piga like kwa magu

 • wilonja hatua
  wilonja hatua 7 months ago

  Yaan hii video imeniliza kabisa kweli huyu ni rais wa wanyonge kutoka moyoni kama unamkubali rais magufuli acha ubishi gonga like yako hapa

 • Happy Daniel
  Happy Daniel 7 months ago

  BASI KUNA MIJITU NCHI HII INAKEREKA DINGI AKICHUKUA HATUA HIZI ? YENYEWE INAFIKIRIA MADARAKA TUU, HAINA HATA HURUMA, BUNGENI HAINA SERA NI MATUSI TUU, NJE YA BUNGE NI BANGE TUU NA VIROBA, IKIONA DALILI YA KUSHINDWA UTAISIKIA INATOA MAJIBU KABLA YA HUKUMU AU MATOKEO, ILIVYO MINAFIKI INAMSHIRIKISHAGA NA MUNGU KTK UNAFIKI WAO, NA KUNA MOJA ILO NDO LIMEGEUKA LITABIRI SIKU HIZI, KILA KUKICHA UTALISIKIA " LEO NIMEOTA " MFYUUUU................

 • Fred kyara. Baba mungu wambinguni Mfinanga

  Wanaopenda Rais. Wetu Kipenzi Atutumikie Miaka 20 Layk Hapa Kuniunga Mkono

 • Juliasi Suleiman
  Juliasi Suleiman 7 months ago

  Huyu ndiyo Magufuli, chezea hangine hapa utaumia na utapata tabu sana, usije ukam beep, atapiga, na akipiga juwa imekula kwako,Magufuli Rais Bora kuwahi kutokea duniani, Mungu kiongozi wetu huyu, mzingire Kwa wigo umzungushie ukuta wa moto na umwachilie ulinzi wa kimbingu Amen

 • Zinbo Rmdan
  Zinbo Rmdan 7 months ago

  Ukiona mtu hamkubali magu bas jua alizoea kula vya bure

 • Issa Omary
  Issa Omary 7 months ago

  Kama unakubari serikari ya magufuri haichezewi gonga like hapo

 • Ombeni Lyawalika
  Ombeni Lyawalika 7 months ago

  Hongera sana Rais wetu kwa kutetea haki ya wanyonge kama huyo bibi

 • david andrew
  david andrew 7 months ago

  Mungu akulinde na kukupa maisha marefu yenye afya tele. Utuongoze vyema

 • Blessing Bagio
  Blessing Bagio 7 months ago

  Ckua nampenda na wala ckumchagua magufuli lkn kunavtu anafanya namkubali.

 • Nikolas Emanuel
  Nikolas Emanuel 7 months ago

  Mimi naendelea kusema ww ni rafiki wawanyonge kwakweli nimetokwa namachozi kwaraha maana maamuzi unayo yachukua ni uhalisia wa maisha ya mtu ambaye ni mtoto wamkulima.ule utanzania halisi tunauwona kwako.Barikiwa muheshimiwa raisi wetu,

 • Joshua Mchiwa
  Joshua Mchiwa 1 month ago

  Yaani hadi machozi yamenitoka. MUNGU akubariki sana mheshimiwa Raisi.

 • Matty Ambrose
  Matty Ambrose 1 month ago

  Mungu akulinde sikuzote Rais wetu John pombe magufuli

 • Felista Kalindima
  Felista Kalindima 7 months ago

  Mungu akubariki rais wetu nakupenda sana daah

 • Emmanuel Awiti
  Emmanuel Awiti 7 months ago

  azarau anayoyaona na roho ya mungu inamwongoza ndo maana kaona shida ya wananchi wa ali ya chini

 • Salmada Laquimane
  Salmada Laquimane 7 months ago

  Mapenz yang kwako aya semek nakupenda sana magu

 • abel makori
  abel makori 3 months ago

  How i wish things were this way in Kenya.

 • Silver Joseph
  Silver Joseph 6 days ago

  Big up Sana Mr President

 • Zinbo Rmdan
  Zinbo Rmdan 7 months ago

  Chapa kazi baba nakupendajeeee

 • Fred kyara. Baba mungu wambinguni Mfinanga

  Asie mkubali Jembe. letu JPM. Ujue wewe ni mfuac wa lucifa