MKURUGENZI 'AMENASA' NDANI YA 18 ZA RC GAMBO,NAYE DC MURO AKAZIA ILIVYOKUWA HADHARANI. Download mp3 - Download video

Share
Add
 • Published on Sep 5, 2018

 • MKURUGENZI 'AMENASA' NDANI YA 18 ZA RC GAMBO,NAYE DC MURO AKAZIA ILIVYOKUWA HADHARANI. tags

Comments

 • John Kihiyo
  John Kihiyo 9 months ago

  sasa gambo wataalam wanasema hivi we unafosi wafanye ivi! shida sana

 • Octavian Mashoto
  Octavian Mashoto 9 months ago

  Mh.Gambo unasikiliza, una digest kisha unazungumza kwa staha sana. GOD BLESS YOUR FUTURE

 • Hassan Likaba
  Hassan Likaba 9 months ago

  Nondo wamepeleka wapi waulize

 • Sadiki Issa
  Sadiki Issa 9 months ago

  Nyie GADI TV wekeni tarehe ya tukio kwenye channel yenu.

 • Makongoro Julius
  Makongoro Julius 8 months ago

  Huyu DED Ni mwanazuoni aliebobea kwenye hesabu alikua mwalimu pale UDSM arudi tu kwenye taaluma yake aiwezi siasa watamvutuga

 • emanuel moshama
  emanuel moshama 9 months ago

  kwani mkulugenz wa halmashaurii, anausika vp na daraja kwa sasa maana kila kitu kimehamishiwa TARURA kwa nn asimjibu ivoo

 • Akida Salim
  Akida Salim 9 months ago

  Jamani nchi imebadilika.viongozi hamsemani vikaoni?Mpaka media?hamna ofisiii

 • Costantino Raphael
  Costantino Raphael 4 months ago

  Sjajua kodi zetu zinatumika kufanyaje kwakua hili tatizo in dogo sana lakini linaonekana kubwa

 • Mwidzuhulu Hapalata II

  Kiongozi mzuri ni yule anayewaonya watumishi wake sehemu za faragha na kuwasifia kwa wananchi.Kiongozi unapomdhalilisha kiongozi wa umma hadharani,huna busara

 • Nyeusi Black
  Nyeusi Black 9 months ago

  Dr Bashiru amekwisha kumuonya Makonda na hii kauli ya " wananchi wangu"

 • Emanuel Mussa
  Emanuel Mussa 7 months ago

  DED kajibu kitaalam hongera Dr mahela charles

 • Finias Fidelis
  Finias Fidelis 9 months ago

  Mrisho Gambo usiingize siasa ktk mambo ya kitaalamu. That's a bad governance

 • Freddy Mello
  Freddy Mello 9 months ago

  wapinga maendeleo wapo hata ndani ya serikali sio bungeni tu.

 • andrew mgoyo
  andrew mgoyo 9 months ago

  Juzi kati hapa nadhan wazr wa tamisemi Mh jaffo alisema siri za ofisi hadi kwenye WhatsApp kwmb taarifa znatumwa na watumishi hv kwa namna hii kweli hyo ofisi itakuwa na siri kweli. Wakuu wetu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi,RAS na DAS tubadilikeni km mnataka Rais ajue huenda mfumo haujakaa vzr andaen utaratibu, Mistake can occur huyo mtumishi leo watu anao wahudumiwa wanamchukuliaje, huenda hata sh tano hajala lkn watasema tu amekula ela huyoo

 • KAJANJA AHAMADI
  KAJANJA AHAMADI 9 months ago

  tatizo amutaki maendeo ya wananchi munataka misifa na kuisifu ccm tu ndio tatizo kubwa

 • Heche Chacha
  Heche Chacha 9 months ago

  Lugha ya mkurugenzi ni ya kitaalam kwamba mapato ya ndani ya hapo hayawezi kujenga daraja hilo Ninyi mnazungumza lugha ya kisiasa

 • emanuel moshama
  emanuel moshama 9 months ago

  unajua sielewi kazi ya TARURA ni nn, mnamsumbua tuu uyo mkurugenz

 • Alli Lutavi
  Alli Lutavi 8 months ago

  Politics Vs Proffesionalism

 • Mzee wa jambo
  Mzee wa jambo 9 months ago

  Manunuzi yanasheria yake

 • Petro Jacob
  Petro Jacob 9 months ago

  Hawa wasomi ndiyo wamelifikisha taifa hili hapa