Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam Download mp3 - Download video

Share
Add
 • Published on Sep 26, 2016

 • Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
 • Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam tags

Comments

 • Moses Nekyon
  Moses Nekyon 2 years ago

  Ndugu zangu watanzania, nataka mtukopeshe JPM, hapa Uganda sikumoja tuu. Majipu chungu mbovu hapa Uganda......

 • msa boy
  msa boy 2 years ago

  Asante mungu tunajivunia magufuli wetu

 • Focus Y Mengi
  Focus Y Mengi 2 years ago

  Kwa Magufuli, watanyooka tu! Mungu akulinde sana rais we2

 • khalid nassor
  khalid nassor 2 years ago

  My best president in Tanzania. I proud of you sir mungu akulinde sana. Kura yangu sijakosea kabisa.

 • Habiba Habiba
  Habiba Habiba 2 years ago

  wakomeshe hao wenzi wa mafanikio ya nchi kuifanya tanzaina kuwa nich masikin fukuza kaz hao

 • Queen Charles
  Queen Charles 2 months ago

  Kama upo kazini ukamuona JPM gafla, unaweza sahau ata jina lako! Hahahhahahhaha

 • Emmanuel Nyansiro
  Emmanuel Nyansiro 2 years ago

  kweli Leo wamepatikana mzee wa nyumba kawanasa

 • STEVOO
  STEVOO 1 year ago

  ofisi zimekua chunguuuuu mzee anatetemeka mpaka huruma,,,,sasa hivi mtu akikwambia nafanya kazi bandarini unamuonea hata huruma wallahiiii,,kuvamia na mwenye nchi yake muda wowote ule,,,,,,hatariiiiiiiiiiiiiiiiii

 • Samwel Nyangala
  Samwel Nyangala 2 years ago

  Shidaah

 • Faida Manoni
  Faida Manoni 2 years ago

  Piga makofi watu ndio waelewe

 • Abdi Salleh Kiprotich

  Kuja Kenya uwe wetu magufuli,,huyu Kenyatta Ni shida

 • TME tv
  TME tv 1 year ago

  😂😂😂😂😂 mpaka wana vigugumizi

 • patrick misigo
  patrick misigo 2 years ago

  hapo ni kazi tuuuuu rais mchapa kazi....i wish we had such a president in kenya watu wangeamka

 • farida bakari
  farida bakari 8 months ago (edited)

  So good job President magufuli 🇯🇲😙😙😚😚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapii

 • Same Darbo
  Same Darbo 3 months ago

  I am calling all African people let us stand with this president, so that Africa can be become a Home🇬🇲👨🏾‍🎓👨🏾‍🎓

 • Totos Irene
  Totos Irene 8 months ago

  Mwenyez mungu azidi kumlinda kiongoz Wetu Rais Maguful

 • Habiba Habiba
  Habiba Habiba 2 years ago

  wakomeshe hao wenzi wa mafanikio ya nchi kuifanya tanzaina kuwa nich masikin fukuza kaz hao

 • Bramwel Safaris
  Bramwel Safaris 2 months ago

  INAENDAJE KWENYE DATA BASE WAKATI MAAMUZI YANATAKIWA YAFANYIKE SASA?

 • Emmanuel Nyansiro
  Emmanuel Nyansiro 2 years ago

  kweli Leo wamepatikana mzee wa nyumba kawanasa

 • rahma shabani
  rahma shabani 1 month ago

  Nimecheka mie duuh watu matumbo joto